ActionScript
ActionScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Gary Grossman na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1998. Iliundwa ili kuumba uhuishaji kwenye tovuti. Leo tunatumia ActionScript 3.0. Ilivutwa na JavaScript. Inaitwa ActionScript kwa sababu ilivutwa na JavaScript. HistoriaIlianzishwa 1 Januari 1998 nchini Marekani, lakini Gary Grossman alianza kufanya kazi kuhusu ActionScript mwaka wa 1997. FalsafaNamna ya ActionScript ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee. SintaksiaSintaksia ya ActionScript ni rahisi kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, PHP au Visual Basic. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine. Mifano ya ActionScriptProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». <?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<s:Application xmlns:fx="http://ns.adobe.com/mxml/2009"
xmlns:s="library://ns.adobe.com/flex/mx/polysylabi"
xmlns:mx="library://ns.adobe.com/flex/mx" layout="vertical"
creationComplete="initApp()">
<fx:Script>
<![CDATA[
public function initApp():void
{
// inachapa "Jambo ulimwengu !" kwenye kichwa
title.text="Jambo ulimwengu !";
}
]]>
</fx:Script>
<s:Label id="title" fontSize="54" fontStyle="bold"/>
</s:Application>
Programu kwa kupata factoria ya namba moja. function factorial (n) {
if (n < 0) {
return; //
} else if (n <= 1) {
return 1;
} else {
return n * factorial(n-1);
}
}
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia