Ada (lugha ya programu)
Ada ni lugha ya programu. Iliundwa na Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull na ilianzishwa tarehe 1 Februari 1980. Iliundwa ili kuumba programu na kurahisisha kujifunza lugha za programu. Leo tunatumia Ada 2012: Tucker Taft. Ilivutwa na Pascal. Inaitwa Ada kwa heshima ya Ada Lovelace ambaye alikuwa mwanaprogramu wa kwanza. HistoriaIlianzishwa 1 Februari 1980 nchini Marekani. Lakini Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull walianza kufanya kazi kuhusu Ada mwaka 1977. FalsafaNamna ya Ada ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee kama lugha za programu nyingi. SintaksiaSintaksia ya Ada ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pascal, lugha ya programu nyingine. Mifano ya RubyProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». with Ada.Text_IO; use Ada.Text_IO;
procedure Jambo is
begin
Put_Line ("Jambo ulimwengu !");
end Jambo;
Programu kwa kuumba "package" juu ya Ada. with Ada.Text_IO;
package body Example is
i : Number := Number'First;
procedure Print_and_Increment (j: in out Number) is
function Next (k: in Number) return Number is
begin
return k + 1;
end Next;
begin
Ada.Text_IO.Put_Line ( "The total is: " & Number'Image(j) );
j := Next (j);
end Print_and_Increment;
-- package initialization executed when the package is elaborated
begin
while i < Number'Last loop
Print_and_Increment (i);
end loop;
end Example;
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia