Ada Yonath

Ada Yonath

Ada Yonath (amezaliwa 22 Juni 1939) ni mwanakemia kutoka nchi ya Israeli. Hasa amechunguza ribosomi. Mwaka wa 2009, pamoja na Venkatraman Ramakrishnan na Thomas Steitz, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ada Yonath kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya