C (lugha ya programu)
C ni lugha ya programu. Iliundwa na Dennis Ritchie na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1972. Iliundwa ili kuumba mifumo ya uendeshaji. Leo tunatumia C 18. Ilivutwa na FORTRAN. Inaitwa C kwa sababu ni mageuzi ya B, lugha ya programu nyingine. HistoriaIlianzishwa 1 Januari 1972 nchini Marekani. Lakini Dennis Ritchie alianza kufanya kazi kuhusu C mwaka wa 1970. FalsafaNamna ya C ni namna ya utaratibu kinyume cha lugha za programu nyingi. SintaksiaSintaksia ya C ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya B, lugha ya programu nyingine. Mifano ya CProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». #include <stdio.h>
int main(void)
{
printf("Jambo ulimwengu !\n");
}
Programu kwa kutafuta factoria ya namba moja. #include <stdio.h>
int main() {
int n, i;
unsigned long long fact = 1;
printf("Enter an integer: ");
scanf("%d", &n);
// shows error if the user enters a negative integer
if (n < 0)
printf("Error! Factorial of a negative number doesn't exist.");
else {
for (i = 1; i <= n; ++i) {
fact *= i;
}
printf("Factorial of %d = %llu", n, fact);
}
return 0;
}
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia