C sharp
C# au C sharp ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 1 Julai 2000. Iliundwa ili kuumba programu kwa Microsoft. Leo tunatumia C# 8.0. Ilivutwa na C++. Inaitwa C# kwa sababu ni mageuzi ya C++, lugha ya programu nyingine. HistoriaIlianzishwa 1 Julai 2000 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu C# mwaka wa 1999. FalsafaNamna ya C# ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee. SintaksiaSintaksia ya C# ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya Haskell, lugha ya programu nyingine. Mifano ya C#Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». using System;
class Program
{
public static void Main(string[] args)
{
Console.WriteLine("Jambo ulimwengu !");
}
}
Programu kwa kupata factoria ya namba moja. using System;
public class FactorialExample
{
public static void Main(string[] args)
{
int i,fact=1,number;
Console.Write("Ingia namba moja: ");
number= int.Parse(Console.ReadLine());
for(i=1;i<=number;i++){
fact=fact*i;
}
Console.Write("Factoria ya " +number+" ni: "+fact);
}
}
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia