Java (lugha ya programu)
Java ni lugha ya programu. Iliundwa na James Gosling na ilianzishwa tarehe 23 Mei 1995. Iliundwa ili kuumba programu kwa Android. Leo tunatumia Java SE 13. Ilivutwa na C++. HistoriaIlianzishwa mwaka wa 1995 nchini Marekani. James Gosling, Mike Sheridan, na Patrick Naughton walianza kufanya kazi kuhusu Java mwaka wa 1991. Mwaka wa 1996 Sun Microsystems ilichapa Java 1.0. FalsafaNamna ya Java ni ile inaozingatiwa kuhusu kipengee na namna nyingi. SintaksiaSintaksia ya Java ni ngumu sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya C++, lugha ya programu nyingine. Mifano ya JavaProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». public class JamboUlimwengu {
public static void main(String[] args) {
System.out.println("Jambo ulimwengu !");
}
}
Programu kwa kutafuta thamani katika jedwali. class Mfano2 {
public static void main(String[] args) {
int[] table = {12, -5, 7, 8, -6, 6, 4, 78, 2};
byte elt = 4;
short i;
for (i = 0; i < 8; i++) {
if (elt == table[i]) {
break;
}
}
afficher(i, elt);
}
static void afficher(int rang, long val) {
if (rang == 8) {
System.out.println("thamani : " + val + " haitafutwi.");
} else {
System.out.println("thamani : " + val + " thamani anatafutwa in rank :" + rang);
}
}
}
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia