Pascal Delannoy

Pascal Michel Ghislain Delannoy (alizaliwa 2 Aprili 1957) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Ufaransa ambaye kwa sasa ni askofu mkuu wa Strasbourg.

Awali, alihudumu kama askofu wa Saint-Denis kutoka 2009 hadi 2024 na alikuwa askofu msaidizi wa Lille kati ya 2004 na 2009.[1]

Marejeo

  1. "Mgr Pascal Delannoy". Conférence des évêques de France (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 29 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya