Shake It Off
"Shake It Off" ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa nchini Marekani Mariah Carey, kwa kushirikiana na waandishi wengine kama vile Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox, Johntá Austin, na ulirekodiwa katika albamu ya kumi ya Carey, iliyojulikana kama The Emancipation of Mimi iliyotoka mwaka (2005). Wimbo huu ulitoka kama single ya tatu kutoka katika albamu hii ya mwaka 2005. Historia ya kutoka"Shake It Off" ilitoka na kufika katika nafasi mbalimbali katika chati ya Top 40 Mainstream contemporary hit radio ncahini Marekani tarehe 12 Juni 2005..[2]. Wimbo huu kwa mara ya pili ulitayarishwa na DJ Clue ambaye alitayarisha rimiksi ya nyimbo za hapo kabla, kama vile wimbo wa ‘’We Belong Together’’. Bill Lamb wa mtandao wa About.com alisema kuwa ‘’wimbo huu ni zaidi kidogo ya nyimbo zilizotangulia’’."[3] Mwimbaji wa Yahoo! Music nayeitwa Dan Gennoe anauita wimbo huu kuwa ipo kaive nnyimbo za Usher.",[4]. ChatiNchini Marekani wimbo huu uliingia katika chati ya Bilboad na kufikia katika nafasi ya 66, .[5], katika wiki yake ya pili katika chati huzi,liweza kufika katika nafasi ya 2,nyuma ya single zilizopita za Carey kama vile ‘’We Belong Together’’ na kumfanya Carey kuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike kuwahi kufikisha nyimbo mbili zinazofuatana katika nafasi ya kwanza na ya pili..[6] Wimbo wa "Shake It Off" ulifika katika namba 2 baada ya wiki sita baada ya wimbo wa ‘’We Belong Together’’ kushuka kutoka nafasi ya kwanza hadi nje ya chati hiyo. . Vieo ya MuzikiVideo ya single hii iiongzwa na jJake Nava n Inaanza kwa kumwnesha Carey akiwa na mpenzi wake. Carey anamlaumu mpenzi wake na anamwambia kuwa,wanachana na anaonekana kupanga nguo katika mabegi yake na anaonekana kuondoka katika nyumba hiyo. Carey anaonekana kusimama katika mghahawa mmoja, na baadae anaonekana akiwa katika kituo cha magari. Na Chris Tucker akiwa ameka katika kiti cha basi. Video inaendelea na mwishoni. Anaonekana michana mdogo ambaye ametokezea pia katika albamu yake ya mwaka 1995, ya ‘’Fantasy’’. Video hii ilichaguliwa kugombea katika tuzo ya MTV Video Music Awards ya mwaka 2006 katika jamii ya Best R&B Video. Muundo na Orodha ya nyimboAustralian CD single
US Promo 12" Single
Chati
1 "Get Your Number"/"Shake It Off" Mauzo
Historia ya kutoka
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia