Variable (uhandisi wa programu)Variable (kompyuta programming) ni mahali katika RAM penye anwani panapo idadi kadhaa (inayojulikana au isiyojulikana) ya habari iitwayo value. Variables za kompyuta programming hazilazimiki kuwa variables za mhisabati. Value ya variable ya kompyuta hailazimiki kuwa sehemu ya mlinganyo au fomyula kama katika mhisabati. Kwa mfano katika mkokotoo variable inaweza kushiriki harakati irudiyo yaani kupata value katika mahali pamoja ya programu na halafu kutumiwa katika pengine na baadaye kupata value mpya na kutumiwa mara tena kwa njia hiyohiyo au nyingine. Kuandikisha valuable katika variable kunaitwa assignment. Huo ni aina ya statement. Variables za kompyuta programming hupewa majina marefu yaelezayo wajibu yao maadam variables za mhisabati huwekwa alama ya herufi kwa kufupisha. Mahali pa kumbukumbu palipowekwa alama na variable inaweza kuonyeshwa na identifiers mbalimbali chache sambamba. Kwa manzili hayo mabadiliko ya value kwa identifier moja itasababisha mabadiliko ya value yanayowezekana kupatwa kwa identifier vingine. Kulingana na type system ya lugha ya kompyuta programming variable inaweza kuwa na uwezo wa pekee kuhifadhi aina ya data ya pekee tu (kwa mfano nabma kamili au string). Ama aina ya data katika lugha ya kompyuta programming inaweza kuwa aridhio ya value maadam variable inaweza kuhifadhi values zo zote. WigoNi eneo la programu ambalo ndani yake identifier ya variable kadhaa inaendelea kuungwa na variable hiyo na kurudi value yake. Nje ya wigo hiyo identifier ileile inaweza kuungwa na variable nyingine au kuwa huru (kutoungwa na variable yoyote). Katika wingi wa lugha ya programu wigo inatungamana na mahali pa kutokea kwa variable. Mbali na hayo wigo inaweza kuainiwa dhahiri. Aina za variables kulingana na wigoKatika lugha zinazokubalia structured programming variables hugawanyiwa aina mbili:
Katika lugha zinazokubalia uainishaji wa programu kwa moduli inawezekana kutokea kwa variables zilizo za mahali maalum kuhusu moduli. Katika paradigma OOP huainiwa mara nyingi wigo tatu:
|
Portal di Ensiklopedia Dunia