TypeScript
TypeScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 12 Februari 2012. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia TypeScript 3.8.2. Ilivutwa na Javascript. Inaitwa TypeScript kwa sababu ni mageuzi ya Javascript, lugha ya programu nyingine. HistoriaIlianzishwa 12 Februari 2012 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu TypeScript mwaka wa 2010. FalsafaNamna ya TypeScript ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee. SintaksiaSintaksia ya TypeScript ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine. Mifano ya TypeScriptProgramu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !». var ujumbe:string = "Jambo ulimwengu !" ;
console.log(ujumbe);
Programu kwa kupata factoria ya namba moja. module FactorialModule {
export class FactorialClass {
fact: number = 1;
factorial(n: number) {
while (n > 0) {
this.fact = this.fact * n;
n = n - 1;
}
return this.fact;
}
}
}
Marejeo
|
Portal di Ensiklopedia Dunia